Mmea Umethibitika kuwa ni
mmoja ya mimea yenye faida nyingi sana kwa mwili wa Binadamu. Sehemu zake zote
yaani Mizizi, Shina, Majani na Maua vyote ni dawa nzuri sana na zenye kuleta
matokeo ya haraka sana kwa mgonjwa.
MIZIZI YAKE NI TIBA YA KANSA
YA MATITI
Matumizi
Imethibitika kuwa na uwezo
wa kutibu kansa ya matiti kwa haraka sana, mgonjwa akitumia dawa hii vizuri
kati ya siku 30 hadi 45 atakuwa amepona kabisa ugonjwa huu wa kansa ya matiti.
Unachotakiwa kufanya ni kuchemsha mizizi yake na unywe kikombe cha chai kutwa
mara 3 kwa siku 30 hadi 45.
MAJANI YAKE NI TIBA YA
KISUKARI TYPE 2
Matumizi
Majani yam mea huu yamethibitika kuwa na uwezo wa kutibu kabisa tatizo la kisukari type 2. Mgonjwa anatakiwa kuchukua majani kilo 1 na kuyachemsha kwenye maji Lita 3, chemsha kwa dakika 5 tu kasha funika na Uiche ipoe kabisa, ikishapoa chuja na mgonjwa anatakiwa kunywa kikombe kimoja kutwa mara 3 kwa siku 10. Akitumia kwa uaminifu kabisa baada ya siku kumi atakuwa amepona kabisa tatizo hili la kisukari type 2. Kumbuka Ili uweze kufahamu kama sukari yako ni type 1 au 2 unatakiwa kwenda hospitali na ufanye vipimo
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mpya.
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku