Mojawapo ya maswali ambayo nimekuwa nikiyapata
kutoka kwa baadhi ya wanaume ni kutaka kujua kama ni saizi gani ya maumbile
yanayoweza kumridhisha mwanamke. Wengi walidai kwamba wanahisi kwamba maumbile
yao ni madogo na wana mashaka kama wanawatosheleza wapenzi wao au wake zao.
Kwa upande wa wanawake wao wameonekana kuwa na
shauku ya kutaka kujua kama maumbile makubwa ndiyo yanayoridhisha ukilinganisha
na maumbile madogo? Huu ni mkengeuko mkubwa wa tendo la kujamiiana kutokana na
jinsi watu wanavyolichukulia tendo hilo. Hata hivyo nililazimika kuwadadisi
baadhi ya walionipigia simu kutaka kujua chanzo hasa cha hofu hiyo. Je wenzi
wao waliwahi kuwalalamikia kuhusu kutoridhishwa kwao na tendo la kujamiiana?
Ukweli ni kwamba wengi walikiri kuwa wenzi wao
hawakuwahi kuwalalamikia, lakini kutokana na simulizi wanazozisikia kutoka kwa
watu mbalimbali, kuna madai kwamba wanawake wanapenda maumbile makubwa, Pia
walikiri kuangalia mikanda ya video ya ngono na kuona jinsi wanaume walivyo na
maumbile makubwa kushinda ya kwao na ndio chanzo cha wao kupata hofu kwamba
huenda wenzi wao hawaridhishwi na maumbile yao. Niliendelea kudadisi, Je
wanataka ukubwa wa saizi gani kwa vipimo halisi. Kwa bahati mbaya hakuna
aliyeweza kujibu swali hilo, wengi walikuwa wanababaika tu na hakuna hata mmoja
aliyekuwa na majibu sahihi.
Kwa upande wa wanawake wao nao walikiri kwamba simulizi
wanazopeana kuhusu tendo la kujamiiana pale wakutanapo kwenye vikao vyao,
(pengine kwenye saluni), nako mambo ni hayo hayo, hujadili kuhusu saizi ya
maumbile inayoweza kumridhisha mwanamke. Kwa bahati mbaya kuna kudanganyana
kwingi kuhusu ukubwa wa maumbile ya wanaume na ridhiko la tendo la kujamiiana
na ndio sababu wale vijana wa wanaosifiwa huko mitaani kuwa wana maumbile
makubwa wamekuwa wakiwapata wanawake kirahisi kutokana na kila mmoja kutaka
kujua kama atapata ridhiko tofauti na alivyozoea..! Lakini swali bado linabaki
pale pale. Je ukubwa wa uume unaozungumziwa ni upi?
Hebu
tuone wataalamu wanasemje kuhusu kuhusu jambo hilo:
-Kwa wastani maumbile ya mwanaume yanatakiwa
yawe na ukubwa wa kati ya inchi tano mpaka sita kwa urefu pale unaposimama.
-Pale ambapo hayajasimama maumbile ya mwanaume
yanatakiwa yawe na ukubwa wa inchi tatu mpaka nne kwa urefu
-Hata hivyo utafiti umebaini kwamba hakuna
uhusiano kati a urefu wa mtu na maumbile ya uume wake
Utafiti uliofanywa kwa wanaume zaidi ya mia
tatu, watafiti hao walibaini kwamba uume mkubwa ambao haujasimama ulikuwa na
urefu wa inchi 5.5 na mtu aliyekuwa na uume huo alikuwa na urefu wa futi 5.7,
uume mdogo kabisa uliopimwa ukiwa haujasimama ulikuwa na inchi 2.25, na mtu
aliyekuwa na uume huo alikuwa na urefu wa futi 5.1.
Je
urefu wa uume ndio unaoweza kumridhisha mwanamke katika tendo la kujamiiana?
Iwapo maumbile ya mwanamke yanamlazimu
kupata uume mkubwa ili aweze kuridhika na tendo la kujamiiana, ni sawa, kwani
kama wanaume wanavyotofautiana katika maumbile ya uume hata wanawake nao
hutofautiana maumbile pia. Lakini wanawake wengi wamekiri kuridhishwa na
maumbile yenye urefu wa kati ya inchi
tano mpaka sita.
Watu wanapozungumzia ukubwa wa maumbile ya
wanaume wanakuwa wamelenga urefu wa uume, lakini utafiti uliofanywa umebaini
kwamba unene wa maumbile ya mwanaume ndio muhimu zaidi katika kumridhisha
mwanamke katika tendo la kujamiiana.
Mwanasaikolojia Russel Eisenman akishirikiana
na watafiti wenzie kutoka katika chuo cha Texas, Edinburg, waliwauliza wanawake
50 waliokuwa wakisifika kwa kushiriki sana tendo la kujamiiana. Wanawake hao
waliulizwa, kama wao huwa wanaridhishwa na uume mrefu au mnene. Watafiti hao
walishangazwa na matokeo ya utafiti wao. Kwani wanawake 45 kati ya hao 50
walidai kwamba huwa wanaridhishwa kimapenzi pale wanapokutana na mwanaume
mwenya uume mnene. Ni wanawake watano tu kati ya hao 50 waliodai kuridhishwa na
mwanaume mwenye uume mrefu.
Hivo nadhani umepata picha halisi kuhusu jambo hili.
90% ya wanawake wanafurahia tendo pale wanapokutana na mwanaume mwenye maumbile
Manene sio Marefu. Hivo usihangaike sana kuongeza Urefu wa Mashine yako Kama
Labda kama unahisi Sio nene. Ikiwa unahitaji dawa ya kuifanya iwe nene niachie
ujumbe kwenye +255659206655.
Nafikiri sasa umekuwa na amani maana kuna watani zangu mnaogopa kuoa kwa sababu mnahisi Mashine zenu ni ndogo sana.
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku