Endiketa" ni Msamiati lakini maana yake ni
kubana, kuvuta na kuachia uume kwa kutumia misuli ya uke.
Mtindo huu wa ufanyaji tendo la ndoa humpa
mwanaume raha ya ajabu ambayo mara nyingi itamfanya akushikilie kwa nguvu au
abaki anaguna-guna tu (jaribu kumsemesha kisha sikilizia sauti yake hehehehe
sauti itakuwa haitoki vema kwa utamu)....
Endiketa ukiipatia ni mwisho wa matatizo.
Kubana huku au niseme ubanaji wa Uume kwa
kutumia misuli ya uke kuko tofauti inategemeana na mtu mwenyewe, vilevile
"timing" yako kwani unapaswa kujua ni wakati gani unatakiwa kubana,
kamua na "kubanua".
Vilevile kuna baadhi ya wanawake (kwa uzoefu
wangu mwenyewe) kama mumeo amekufanya vizuri siku hiyo na kukaribia au kufikia
mwisho wa uke utahisi utamu wa hali ya juu uliochanganyikana na maumivu fulani
hivi, sasa mpenzi akiendelea na shughuli utahisi kila akienda juu unamvuta
ndani (yeye atahisi hivyo pia) hii hutokea bila kubana misuli ya uke kwa mtindo
ambao kila mtu anaujua au nitakaouelezea hapa chini.
Kabla sijakwambia inakuwaje wakati unapofanya
mapenzi na mikao yake ambayo itakurahisishia "kuendiketa" kwa nafasi
napenda utambue jinsi ya kuibana misuli hiyo ya uke ambayo inahitaji mazoezi
ambayo yatakusaidia pia kurudisha maumbile yako kama ilivyokuwa awali baada ya
kujifungua mtoto/watoto.
Nitaiweka hapa kwa kiswahili rahisi ili unielewe
vema....sawa!
Sote tunafahamu jinsi ya kukata/zuia mkojo
usitoke, kule kuzuia ndio kubana misuli ya uke na ukiachia mkojo utoke ina
maana misuli ya uke imeachia pia, sasa hivi unavyosoma fanya hivyo bila kuwa na
mkojo (yaani hujabanwa mkojo) bana kisha hesabu mpaka kumi kisha achia rudia
tena na tena.
Fanya hivi kila siku, mahali popote ulipo,
wakati wowote......kumbuka kuendelea na zoezi hili kila unapofanya mapenzi.
Jinsi unavyofanya zoezi hili mara nyingi ndivyo
misuli yako inavyozoeana na ile hali ya kubana na kuachia inaongezeka na siku
moja mumeo akikuuliza "mbona siku nyingine K inakuwa mnato sana" ujue
umeanza kufuzu.....
Hiyo ni namna moja ya kumpa "Endiketa"
mpenzi wako.
Namna ya pili ni ile ya kutumia misuli ya uke na
misuli ya tumbo kwa pamoja (kama tumbo lako linanyama nyingi pole kwani
hutoweza kufanikisha hili).......
Mikao na namna ya ku-Endiketa.
(1)-Kifo cha Mende haijalishi nani yuko
juu/chini
(2)-Kipepeo (kitandani au kitini)
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Comments
Post a Comment
Tembelea https://toptenherbs.co.tz/ ili kupata Masomo Mapya Kila siku