Ili mwanamke kuweza kufika kileleni anahitaji
wastani wa dakika 15-20, ndiyo wanawake wanachelewa kidogo kuliko sisi wanaume.
Kuna wanaume wengi hawafikishi hizo dakika katika raundi ya kwanza, wengi
hufikisha katika raundi ya pili, hivyo kama wewe huwezi kuunganisha basi
unajikuta unamkatisha starehe mwanamek na hafiki kabisa. Lakini kuna wanaume
wengi ambao mwisho wao ni raundi moja tu na hapo wanajikuta wamechoka na kulala
kabisa.
Wengi sana unakuta hiyo raundi moja hata
hawafiki dakika kumi na wengine ni mbili mpaka tano. Ni ngumu kidogo kumfikisha
mwanamke kwa dakika mbili au tano, ndiyo maana wanaume wa namna hii wengi
huishia katika msongo wa mawazo, kuwa na hasira, kujifanya Malaya kwa kuwa na
wanawake wengi na visirani vingine vingi kwakua wanadhani wanadharauliwa. Ila
huna haja ya kupaniki, unaweza kumfikisha mwanamke kwa hizo hizi dakika mbili
au tano, ni ufundi wako tu.
(1) Acha kisirani muandae kisaikolojia kabla ya tendo;
Najua unadhani kwakua na
kisirani laba ndiyo mwanamke atakuheshimu, labda kwa kuwa na wanawake wengi
ndiyo atakuona mwanaume, hapana, mwanamke anakukinahi na kupoteza mood kabisa
akijua unachepuka. Sasa kama tena humridhishi kitandani ni dakika tano,
akichanganya na mawazo ya meseji za wanawake zako ninakuhakikishia kuwa hata
ukimgusa anakua kama anatamani kutapuka, hapati rana na mzuka na wewe unapotea
kabisa.
Chakufanya ni kumuandaa kisaikolojia kuwa
anapenda, muonyeshe mapenzi kama yote, acha kuchepuka na nguvu zote wekeza kwake,
mpe sababu nyingine ya kukupenda zaidi ya kitandani kwani hiyo haipo. Vizawadi
mheshimu na mfanye kila akitaka kukuchoka awaze lakini ananipenda, lakini
ananijali yaani mpe sababu ya kukupenda tofauti na kuvunjana. Hapo kisaikolojia
unamvuta kwako na kumfanya kusisimkwa hata akiguswa na wewe, kwamba anaweza
kukuvumilia kwa chochote kwakua unamjali, unakua umeiweka akili yake sawa.
(2) Jua sehemu zake zinazompa mzuka na muandae vizuri;
Kila mwamke ana sehemu katika mwili wake
ambayo ukiigusa anachanganyikiwa ijue, acha kukariri matiti sijui na kule
chini, hapana kuna wengine ni nywele, wengine masikio na kuna shingo na kuna
wengine visigino (dunia hii acha tu uje ukutane na wa kisigino halafu utakiwa
ukinyony** kweli mapenzi ufala) jua mwenza wako zake ziko wapi na jifunze namna
ya kuzishika vizuri, usiwe na mbwembwe sana, shika taratibu utajua tu.
Kuna wengine tena wanakuelekeza lakini kwakua
uko bize na kisirani chako huoni, unapomshika hiyo sehemu unaona
anachanganyikiwa, anaweza kukushika, kukubana, kulegea na vitu vingine. Lakini
kama hataki hiyo sehemu utaona anakusogeza, kwamba labda wewe umekomalia matoto
basi unakuta anasogeza mdomo wako, hakuambii lakini unatakiwa kujiongeza
(3) Wekeza kwenye Kuta za Kinu;
Katika kutwanga unatakiwa kujua kuwa kama
wewe ni wadakika tano mahindi hayatatwangika kwa kutwanga katikati yataishia
kuruka tu. Chukua mchi wako kwanga kwa pembeni, kwamba kuwa kama unausugulia
pembeni huko ndipo hisia zilipo, kwamba mchi wako ukigusana na kinu basi
anasisimkwa zaidi kuliko mchi ukipiga pale katikati ambapo unagusa mahindi tu,
hasa kama una mchi mdogo ambao unaelea kwenye kinu twnaga kwa staili za
kusugulia mchi kwenye kona za kinu.
Lakini pia pembeni ya kinu sugulia pale
kwenye kale kamahindi (maharage). Nirahisi sana kumfiksha mwanamke kwa staili
hii kwani unakusa kabisa moja kwa moja mwili wake. Tumia mikono kuongoza mchi
wako kwani ile toatoa kwa mkono hata wewe inaweza kukupunguzia spidi. Mwanzo
itakua shida ila ukizoea utajiona kama unaweza, nadhani mmenielewa maana!
(4) Kuna kilele cha nje na kilele cha ndani;
Katika kufanya mapenzi kuna vilele vya aina
mbili kwa mwanamke, cha kwanza ni cha mwanamke, hapa nazungumzia kwenye kahindi
(maharage) pale ukipasugua vzuri kabla ya kuanza kutwanga kwa kutumia mikono
yako na vifaa vingine au wakati unatwanga basi ukasugua kutumia mchi wako
mwanamke anaweza kufika kileleni bila shida. Ingawa usichanganye,yale maji ya
kwanza mengi si kilele, ile raha lakini si kilele, kuna kingine cha ndani
ambacho maji yake unaweza usiyaone ila umuone anavyochanganyikiwa.
Kilele cha pili cha ndani hiki ni cha G-spot,
hii ni sehemu ya ndani, ambayo ipo upande wa juu wa kinu cha mwanamke, ipo
kuanzia nchi 3-4, na inategemeana na mwanamke kuna wengine hata haipo mbali ni
kama nchi mbili tu mbili na nusu. Kama ukifanikiwa kuigusa ni rafufadu hivi ina
mikunjo flani hivi, basi wakati wa kutwanga elekeza mchi wako juu na isugue,
hii ikiguswa vizuri basi nirahisi kufikia kilele chenyewe. Sasa kama
ulishamuandaa vizuri mwanamke, kiakili na kimwili basi ukiigusa sehemu hii kwa
dakika tatu tu anafika kileleni.
Haihitaji hata mbwembwe nyingi, hizo dakika
zako tano tu unakuta mtu kashalegea kalala kabisa na hataki. Tena anaridhika
kabisa na hatamani kuchepuka hasa akikumbuka kuwa katika maisha ya kawaida
unamjali, akiwaza akusaliti kwa hilo wakati masoga zake wananyanyasika anaona
bora avumilie huo mtwango mmoja basi. Lakini kama kila siku kisirani,
kumtukana, kumnyanyasa wakati huko hamna kitu kwanini asitafute sehemua ya
kutuliza roho. Kumbuka hata kama unaenda raundi kumi kama humuandai vizuri
anaweza asifike huko kileleni.
Pengine unatamani kufahamu ni dalili gani
zitakuonesha kuwa Mkeo amefika Kileleni. Ni rahisi sana kugundua hilo
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Asante kwa elimu nzuri
ReplyDelete👍
ReplyDeleteDah Asante Sana Dr mbinu nzuri naamini tutazitumia
ReplyDeleteAiseeee shukrani nimeteseka sana ila akun njia za kufanya mtwangio kuwa mkubwa mara 2 zaidi
ReplyDeleteHuohuo unatosha
DeleteNateseka Sana kutofaham
ReplyDeleteIko Poa sanaa
ReplyDeleteAhsante sanaaaa
ReplyDeleteMafundisho mazuri,nashukuru sana
ReplyDeleteASANTE KWA SOMOM ZURI NA MUNGU AKUBARIKI
ReplyDelete