Tatizo hili linaweza kutibika vizuri kabisa hapo nyumbani kwa kutumia
Vitunguu Saumu. Unachotakiwa kufanya ni kuchukua punje 5 za kitunguu saumu
menya na uzikatekate vipande vidogo kisha meza na Maji kutwa mara 2 kwa siku
14. Kwa uwezo wa Mungu tatizo hili litakwisha kabisa
Ikiwa PID imesababisha unatokwa na uchafu wenye harufu kali sana ukeni
basi wewe utatakiwa kumeza punje hizo tano kama nilivoelekeza hapo juu na
unachukua punje mbili au tatu zipondeponde vizuri kisha pakaza huko ukeni
wakati wa Kulala(Kumbuka hii huwa inawasha
hivo usije kuingiwa na hofu ni kawaida).
Wakati naanza kuelezea maada hii nilisema tatizo hili linawapata wanawake
pekee sio wanaume ila kwenye matibabu na Mwanaume nae anatakiwa atibiwe ili
kuua wale bacteria waliopo ndani yake vinginevyo ukilala nae tena
anakuambukiza. Hivo ni muhimu sana wote wawili mke na Mume mtibiwe.
NJIA ZA KUZUIA USIPATWE
NA TATIZO HILI
1.
Kuwa na mpenzi moja mwaminifu
2.
Jitibie magonjwa ya zinaa kama unayo
3.
Jisafishe kwa Kuelekea Nyuma ukiwa chooni. Ili bacteria za
huko nyuma wasiingie kwenye Uke.
4.
Epuka ngono kinyume na Maumbile.
MADHARA UTAKAYOPATA KAMA
HUTATIBIWA MAPEMA
Kama utakaa muda mrefu na tatizo hili la PID basi unaweza kupatwa na Mambo
yafuatayo
1.
Kupoteza kabisa uwezo wako wa Kuzaa
2.
Kupatwa na tatizo la mimba kutungiwa nje ya kizazi (Ectopic
Pregnancy)
3.
Ugonjwa ukisambaa sana unaweza kuharibu sehemu nyingine za
mwili na kupelekea kupoteza Maisha.
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Mko vizuri sana hongeren kwa elimu nzuri
ReplyDelete