Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika umri mdogo utotoni.
Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara anapokuwa mdogo.
Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.

DALILI ZAKE
Kwa mwanaume atakapokuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana.
Pia mwanaume hatakuwa na uwezo mzuri wa kusimamisha.
Ni vigumu kumpa mimba mwanamke.

Mwanamke mwenye chango la uzazi ana dalili zifuatazo:-
●Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
●Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
●Siku zake za hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika
●Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi
●Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
●Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia siku zake za hedhi.
●Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
●Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
●Kupata uvimbe kwenye kizazi
●Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi

MADHARA KWA MWANAMKE
●vigumu kupata mimba
Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa
●Kuingia na kutoka kwa mimba
●Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni
●Kuwa na uke mkavu kuliko kawaida
●vigumu kupata mimba
Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa
●Kuingia na kutoka kwa mimba
●Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii kileleni
●Kuwa na uke mkavu kuliko kawaida
MADHARA KWA MWANAUME
●Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba, Kiwango kinachozalishwa cha mbegu ni kidogo mno
●Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa
●Kusimama na kusinyaa kwa uume/uume legelege
●Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba, Kiwango kinachozalishwa cha mbegu ni kidogo mno
●Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa
●Kusimama na kusinyaa kwa uume/uume legelege
TIBA YA TATIZO HILI
Zipo njia nyingi sana za asili zinazotumika kutibia tatizo hili ila kwa leo nashauri matumizi ya MZUGWA(MVUGA) ni majani ambayo yanapatikana karibu kila pembe ya dunia na ufanisi wake wa kazi ni mzuri sana. chukua majani kadhaa ya mmea huo na uyachemshe kisha kunywa nusu kikombe cha chai kutwa mara 3 kwa siku tatu hadi tano. kwa uwezo wa Mungu utafanikiwa kabisa kupona hilo tatizo
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Mvuga
ReplyDeleteMvuga unafananaje
ReplyDelete