Mmea huu unaitwa NYONYO au kwa kizungu unaitwa Castor Plant ni dawa nzuri sana ya asili na ina ina uwezo wa kufanya mambo mengi sana ikiwemo
1. kupunguza maumivu ya misuli
2. Kuotesha nywele
3. Kuzifanya nywele ziwe na afya zaidi
4. Kutibu maradhi yote ya ngozi
5. ni dawa nzuri kwa watoto wanaolia sana.
6. Husaidia usingizi na kuboresha ya afya ya akili.
7. Inaweza kutumika kama kilainishi cha mitambo au machine kubwa
Yatumie mafuta haya kwa utaratibu niliofundisha hapo na utaona maajabu ya dawa hii, unaweza kuwasiliana nami kwa 0676 298 270
TAZAMA VIDEO HAPO CHINI
Nawezaje kupata kwa uharaka na bei yake ni shilingi ngapi
ReplyDelete