Ugonjwa wa UKIMWI kisayansi ni kuathirika kwa uzaliwaji wa Cell Nyeupe za damu, ambazo husababisha upungufu wa kinga mwilini.
Mgonjwa wa UKIMWI kiafya ili asaidie uwiano wa cell zinazokutana na \ zinazozaliwa ni lazima ajitahidi kupata viini lishe muhimu ambavyo vinatoka katika chakula:
Pendelea kutumia zabibu nyeusi (Black Current) kwa kuwa tunda hili lina sukari iliyochanganywa na uchafu asili kabisa ambao husaidia kuzalisha sukari ya sucrose ambayo huzalisha kwa wingi Cell Nyeupe za damu na kuongeza uwiano mzuri wa cell zinazokufa kwa kuzaliwa.
Zabibu na sucrose iliyosheheni vitamini C, Citric Acid na Acetic Acid na viini lishe vingi muhimu kwa CD4 na CD8.
Pendelea kutumia chai isiyotiwa majani ya chai.
· Katika chai yako weka majani ya mlonge yaliyokaushwa vyema na kusagwa.
· Chota kijiko cha chai cha unga wa majani hayo na weka katika kikombe kimoja cha chai,
· Katika maji ya moto usiweke sukari,
· Tia asali mbichi kabisa. Ni kifungua kinywa na kizuri haina uchungu wala harufu na
· Waweza kunywa na vitafunio vyako kama chai ya kawaida.
· Waweza kutumia mchana na jioni kwani chai hiyo inasaidia kusimamisha kasi ya kuzaliana kwa virusi na kuvifanya virusi vilivyopo kusinzia hivyo hautojisikia maumivu wala kupungua kwa kinga za mwili zinazohusika yaani CD4, hii ni kwasababu ya uwepo wa virutubisho cha Hydro Chloride katika mumea wa mronge (Drumstic).
Pendelea kutumia vyakula vya mchanganyiko kama
BAMIA + NYANYA CHUNGU + KAROTI + NYANYA MAJI + VITUNGUU + BINZARI + BILINGANYA.
Chemsha vyote kwa pamoja visiive sana na
Usiweke maji mengi sana. Ubichi wake (kijani) kwani chakula hicho ni kizuri kwa afya kwasababu ya uwepo wa Acaroids Acid ambayo pia inamsaada mkubwa wa kukinga maradhi nyemelezi.
Tumia nafaka ambazo hazijakoborewa, mahindi, maharage, njugu mawe, njegere, mbaazi, dengu n.k hii huboresha viini lishe na kinga mwilini.
TAARIFA MUHIMU KWAKO MSOMAJI WETU
Napenda kukujulisha kuwa kwa sasa tumeboresha Zaidi huduma zetu. Tembelea website yetu mpya ili kupata masomo mengine mengi zaidi BURE
Masomo Mapya >>>>BONYEZA HAPA<<<<<<<<<<Masomo Mapya
Unakunywa mara ngapi kwa mwaka au ukishakunywa hizo siku kumi na tatu ndiyo basi?
ReplyDelete